- +254 733 838 161 / +254 202 089595
- orders@storymojaafrica.co.ke
Pioneer Kitabu cha Udurusu cha Kiswahili kwa Shule za Junia (Gredi ya 7, 8 na kimeandikwa kwa kuzingatia Mtalaa wa Kiumilisi (CBC) wa kiwango kinacholengwa pamoja na Mfumo wa Tathmini ya Kiumilisi kutoka KNEC. Kitabu hiki ni nyenzo kamili kufanikisha tathmini endelevu na tathmini ya mwisho wa kozi ya shule za junia.
Sifa zake kuu
Uchambuzi wa kina wa mada: Kinajumuisha mada kutoka gredi mbalimbali ambazo zimeelezewa na kuchambuliwa kwa kina ili kumsaidia mwanafunzi kujenga msingi imara wa lugha ya Kiswahili.
Maandalizi ya tathmini: Kimejumuisha Karatasi za Tathmini za Majaribio zinazokusudiwa kumpa mwanafunzi ujuzi wa kukabiliana na tathmini endelevu za shuleni na KJSEA, zikiwa na maswali ya viteuzi na ya kimuundo, pamoja na majibu yake.
Mazoezi maalum: Kila mada ina shughuli maalum za kumwezesha mwanafunzi kufanya mazoezi ya kina ili kuimarisha ujifunzaji, kupima uelewa wake na kujiandaa kwa ajili ya tathmini endelevu za shuleni na KJSEA
Mafunzo halisia ya kiutekelezi: Kima shughuli tekelezi za kumshirikisha mwanafunzi zinazohamasisha uvumbuzi na matumizi ya maarifa na ujuzi katika hali halisi ya maisha
Kinajumuisha mtalaa mzima wa Kiswahili ya kiwango cha shule za
junio: Konashughulikia madu zote za Kiswahili kwa Gredi ya 7,8 na 9, na hivyo kawe rasilimali yo kuaminika kwa ajili ya marudio katika shule za junia