- +254 733 838 161 / +254 202 089595
- orders@storymojaafrica.co.ke
Account
Aliwambia watoto hao wasubiri nje ya lango na wakafanya hivyo. Maarifa alikimbia ndani ya nyumba. Akawaeleza wazazi wake kuhusu watoto maskini nje ya lango.
Mama alisema pengine watoto hao walikuwa wezi. Maarifa alikataa katakata. Alisema walionekana wagonjwa. Mama alitoka nje na kuwahoji watoto hao. Aliwauliza majina yao.
Mkubwa alisema aliitwa Joni.
"Moto ulichoma nyumba yetu jana. Hatujui wazazi wetu wako wapi? Tumeshinda njaa usiku wote," Joni alisema...