- +254 733 838 161 / +254 202 089595
- orders@storymojaafrica.co.ke
Account
Busi anahisi upweke wa kupindukia. Marafiki zake wameshinda tuzo katika mashindano ya talanta. Yeye huenda akatuzwa tu talanta ya kuchelewa shuleni! Anapotoroka shule ya upili ya Harmony, kupitia dirishani anakutana na dereva wa teksi mwenye maumbile ya kuvutia pamoja na ulimi mtamu.
Dereva anampeleka matembezini na kumlisha vinono. Tangu wakati huo, maisha ya Busi yanamwendea mbio. Mwishowe, Busi anagundua Parks ni mtu tofauti na alivyomdhania.
Uhusiano huo utachukua mkondo?